Posts

Showing posts from April, 2019

NAFASI ZA KAZI

Finance Manager required for international company. To be based in Dar es salaam. Candidate must be qualified ACCA or equivalent and have at least five years experience. Must be conversant with SAGE and TALLY accounting package. Attractive package will be offered to the right candidate. Please don't inbox. Send email to sharmin@uni-tanzania.com Vacancy for a Junior Accountant Looking for someone who wants to grow with the company. Has to be enthusiastic about managing the cash flow properly, calling clients for payments and paying suppliers in timely manner. Minimum Requirements: Has to have general accounting knowledge, be able to reconcile accounts & statements. Knowledge of Tax and TRA regulations and willing to learn and adapt. Three good references Added advantage: Knowledge of Sage Knowledge of Quickbooks 3 Years Experience Send your CV to : finance@css-tz.com Looking for Female sales person,with knowledge of sales, good in speaking English and Swahili interested can...

Tendo la ngono kwa ahadi ya kuoa sawa na ubakaji?

Image
Kwanini India inachukulia tendo la ngono kwa ahadi ya kuoa sawa na ubakaji? Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Ikiwa mwanaume atashindwa kutimiza ahadi ya kumuoa mwanamke , ngono baina ya wapenzi wawili walioelewana inaweza kuchukuliwa kama ubakaji? Mahakama ya ngazi ya juu zaidi nchini India imetoa jibu la swali hilo na kusema kuwa ni "ndio". Katika uamuzi muhimu, mahakama imepitisha uamuzi wa mahakama ya awali na kumtia hatiani daktari kwa kosa la ubakaji katika jimbo la lati la India la Chhattisgarh kwasababu alikuwa na makibaliano ya ya uhusiano wa kingono na mwanamuke baada ya kumuahidi kuwa atamuo, lakini baadaye hakutimiza ahadi hiyo na kumuoa mtu mwingine. Hasara yaongezeka Kenya Airways Zijue nchi ambazo ni marufuku kufunika uso 'Msumbiji ina uhitaji mkubwa wa misaada ya kibinadamu' Hisia saba ambazo hazipo tena au zilizobadilika Majaji L Nageswara Rao na MR Shah walisema mwanamke alimruhusu daktari kufanya ngono naye kwasababu aliamini ...

Mvua 'iliyokwama' Tanzania yawasili Kenya ghafla

Image
Hatimaye 'mbingu zimefunguka' nchini Kenya na jiji la Nairobi kwa mara ya kwanza lilipata hali ya unyevu mwaka 2019. Mvua hiyo iliodaiwa kukwama nchini Tanzania ilinyesha kwa ghafla na kuwapata Wakenya wengi wakiwa hawajajiandaa. Wachuuzi waliokuwa wakiuza mali yao katika barabara za jiji la Nairobi waliathiriwa na mvua hiyo. Bobi Wine kutoa taarifa ya maandamano leo Msichana aliyesikia sauti yake baada ya upasuaji wa ubongo Zari apata mpenzi mpya Waendesha magari na raia pia walipatikana wakati ilipokuwa ikinyesha lakini hakuna aliyeonekana akijali. Wakaazi walionekana wakitembea katika mvua bila kujali kwamba walikuwa wakinyeshewa. Masaa mawili kabla ya mvua hiyo kunyesha, idara ya hali ya hewa nchini Kenya ilikuwa imetangaza kuwa mvua itanyesha jijini Nairobi, viungani mwake na maeneo mengine. Raia wengi waliohojiwa walisema kwamba hawakutarajia mvua kunyesha. ''Sikutarajia kwamba itanyesha na nilipokuwa nikiendelea na biashara yangu , mvua ...

NIGERIAN PASTOR CELEBRATES AS HE GET A BRAND NEW CAR.......Read more

Image
Nigerian pastor celebrates as he gets a brand new car after trekking to church for three months - The pastor had revealed that he had sacrificed his Lexus and SUV after God asked him to - Igwe Ogbonnaya said he obeyed God and he has been rewarded for doing so A Nigerian pastor identified as Igwe Ogbonnaya has narrated the story of how God blessed him with a car. The pastor explained that he had received the reward for obeying God's commands. The Dominion Ministries International pastor, who shared his story on Facebook, also posted photos of the brand new Toyota SUV he got. Ogbonnaya explained that God had commanded him in October, 2018, to sacrifice his Lexus car, and later commanded him again to sacrifice his Sequoia SUV in March, 2019. Nigerian pastor who trekked to church for 3 months after giving out his Lexus and SUV gets new car Facebook source: Igwe Ogbonnaya According to the pastor, he had obeyed all God's commands and he was rewarded for it. He sai...

MASOMO YA DOMINIKA YA 2 YA PASAKA: HURUMA YA MUNGU ISIYO NA KIKOMO!

Image
“MBEGU ZA UZIMA” Jumapili, April 28, 2019. Dominika ya Pasaka (Dominika ya 2 ya Pasaka) Acts 5: 12-16; Ps 118: 2-4, 13-15; Ufu: 1:9-19 Jn 20: 19-31. HURUMA YA MUNGU ISIYO NA KIKOMO! "Hakuna mtu atakayetengwa na huruma ya Mungu; kila mtu anajua njia ya kuipata huruma hiyo na Kanisa ni nyumba inayowakaribisha wote na hakuna anayekataliwa. Milango yake inabakia wazi, ili wote wanaoguswa na huruma waweze kupata toshelezo la msamaha. Dhambi inavyokuwa kubwa, vivyo hivyo upendo unapaswa Kuwa mkubwa ule ambao unatolewa na Kanisa kwa wale wote wanaoongoka... Kwa sababu hii, nimeamua kuitisha Jubilei ya hali ya pekee ambayo ni kuwa na huruma ya Mungu katika kiini chake. Unapaswa uwe mwaka mtakatifu wa Huruma. Twahitaji kuuishi mwaka huu katika mwanga wa maneno ya Bwana: "Kuwa na huruma, kama tu Baba yako alivyo na huruma. (Rej. Lk 6:36)." Haya yalikuwa ni maneno ya Papa Francis alipoutangaza mwaka...

Kimbunga Kenneth: Waokoaji wahangaika kufikia vijiji vilivyoathiriwa

Image
Kimbunga Kenneth: Waokoaji wahangaika kufikia vijiji vilivyoathiriwa Image caption Kuna hofu kuwa maelfu ya watu wamekwama huku mvua kubwa na upepo vikihofiwa kusababisha hatari ya mafuriko na maporomoko zaidi ya ardhi Wahudumu wa uokozi wanajaribu kufika katika vijiji visivyoweza kufikiwa kwa urahisi ambako kimbunga kikubwa kimesababisha maafa makubwa. Kuna hofu kuwa maelfu ya watu wamekwama huku mvua kubwa na upepo vikihofiwa kusababisha hatari ya mafuriko na maporomoko zaidi ya ardhi. Kimbunga Kenneth kipipiga nchi ya Msumbiji tangu siku ya Alhamisi kikiwa na kasi ya kilomita 220 kwa saa , na kimekuja karibu mwezi mmoja baada ya kimbunga Idai kuwauwa watu zaidi ya 900 katika nchi tatu. Je, unaweza kufa kwa kuacha kupata kifungua kinywa? Mpasuaji wa saratani ya matiti aliyepata saratani ya matiti Utajihisi vipi kufuatiliwa uwapo kazini kila wakati? Katibu mkuu wa shirika la msaada la kimataifa Amnesty International Kumi Naidoo alisema kuwa vimbunga hivyo viwili ni...