Posts

MAMBO MATANO KUHUSU DOMINIKA YA MATAWI

 MAMBO 5 KUHUSU DOMINIKA YA MITI YA MITENDE [MATAWI] YANAYOTUKUMBUSHA KUWA KRISTO NI MFALME. [Share] Dominika ya Miti ya Mitende ni sikukuu ya Kikristo inayohamishika kulingana na tarehe ya Pasaka, na huadhimishwa Jumapili iliyotangulia Pasaka. Sikukuu hii huadhimisha kuingia kwa Yesu kwa shangwe mjini Yerusalemu, tukio lililotajwa katika Injili zote nne. Dominika hii pia huashiria mwanzo wa Juma Takatifu. Inaitwa Dominika ya Miti ya Mitende kwa sababu matawi ya mitende hubarikiwa na kubebwa kwa maandamano kuenzi kuingia kwa Bwana Yesu Yerusalemu. Ni Jumapili pekee ambapo Injili mbili tofauti husomwa. Injili ya mateso (Passion) ndiyo ndefu zaidi ya mwaka. Misa hii huwa na hisia mbili zinazotofautiana sana—mwanzo wa shangwe, lakini baadaye huzuni kuu. Yesu aliingia Yerusalemu kwa furaha kubwa, watu wakimpigia kelele za "Hosana", lakini muda mfupi baadaye hali ikawa ya huzuni—kwanza na yule Mtumishi anayeteseka aliyetoa mgongo wake kwa wapigao (Isaya 50:6), kisha Yesu mwenyewe ...

Scholarship Freelance Copywriter

Image
  Can you research and write about educational scholarships? Can you generate copy at a fast pace even while making minimal mistakes? Do you enjoy looking for accurate information and making it accessible for people? Want to make a difference in helping students find scholarships and funding their educational journeys? If the skilled content creator we just described sounds like you, we would love to have you join us as a Freelance Education Writer on a special project related to scholarships, awards, and student funding programs throughout the world. At TOP Education, we are a full-service marketing agency in the education space that specializes in digital content, research, and communications to help the right information reach the right students. Our new website, Scholaroo, aims to help streamline the scholarships research, application, and submission processes for students and awarding bodies. The position is remote-friendly as you’ll be working with content writers, editors, a...

SCHOOL SECRETARY NEEDED

  Reception & Adminstrative  Receive parents and visitors, listen to their queries and respond to them accordingly.  Answer telephone calls and keeping written records of telephone messages for the Head.  Receive any documents addressed to the school. These should be stamped (signed with date of receipt) and duly handed over to the Head. Maintain records if required.  Liaise with teachers, parents, and other professionals including social workers in a polite manner.  Take parents’ messages for teachers when need be.  Prepare weekly reports as per the format and deadline provided by the Head. These should be submitted every Friday by 10.00am. Reports must be compiled accurately and efficiently. Handling Visitors  Ensure that official visitors sign the visitors’ book and log book.  Provide visitors with appropriate directions and helping them move around the school when necessary.  Ask the Head teacher and Operations Manager’s availability before sending any visitor to t...

Takriban watu sita wauawa katika mlipuko DRC

Image
  Takriban watu sita wauawa katika mlipuko DRC Ministry of Communication and Media DRC Copyright: Ministry of Communication and Media DRC Takriban watu sita waliuawa na wengine 15 kujeruhiwa baada ya mlipuko katika baa katika kambi ya kijeshi ya Katindo huko Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya mawasiliano ilituma ujumbe wa Twitter siku ya Alhamisi usiku kuwa idadi ya waathiriwa ilikuwa ya awali, huku ikirekebisha idadi kubwa ya vifo iliyotangazwa na msemaji wa serikali Patrick Muyaya. Miongoni mwa wahasiriwa ni kanali luteni na mkewe, kapteni, mmiliki wa baa hiyo na rafiki yake, pamoja na kijana wa miaka 12. Uchunguzi umeanzishwa kuhusu mlipuko huo . Mwishoni mwa 2020, serikali ilitangaza kwamba kambi ya kijeshi ya Katindo itahamishwa nje ya jiji ili kupunguza ukaribu wake na wakazi wa Goma wa watu milioni mbili. Hili hata hivyo bado halijatekelezwa. Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linapambana na makundi mengi ya waasi mashariki mwa nchi hiyo -...

Kenya imepanga kupiga marufuku mahusiano ya kimapenzi miongoni mwa maafisa wa polisi.

Image
  Kenya imepanga kupiga marufuku mahusiano ya kimapenzi miongoni mwa maafisa wa polisi. CHANZO CHA PICHA, AFP Hatua hii ina nia ya kupunguza viwango vya uhalifu unaotokana na masuala ya mapenzi miongoni mwa maafisa hao, Waziri wa usalama wa Ndani alieleza hayo kwenye sherehe katika chuo kimoja cha polisi nchini humo. Kanuni hizo kwanza zinahitaji kupewa idhini na Baraza la Usalama la Taifa, linalosimamia vikosi vyote vya usalama vya nchi hiyo, Fred Matiang'i alisema. Ndani ya huduma ya polisi , mahusiano yalishapigwa marufuku miongoni mwa maafisa wa vyeo tofauti, alieleza. Miezi michache iliyopita, kulikuwa na ongezeko la mauaji ya wapenzi, waziri huyo alieleza. ''Hatuwezi kufungia macho suala hili na kutokuzungumzia baadhi ya changamoto tulizonazo kwenye sekta ya usalama,'' Bw. Matiang'i alisema. Ofisi ya jinsia pia itatazama kesi za udhalilishaji wa kingono ulioripotiwa na maafisa polisi. ''Hapo baadaye, itakuwa ni kosa kisheria kwa polisi kuwa na mahu...

HII NDIO MAANA HALISI YA WIKI KUU KWA WAKRISTO WAKATOLIKI

Image
 HII NDIO MAANA HALISI YA WIKI KUU KWA WAKRISTO WAKATOLIKI WA AMBAO HAWAJUI RATIBA YA WIKI HII KUU YA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTO KATIKA LITRUJIA YA KANISA, IKO KAMA IFUATAVYO:- 1. JUMATATU KUU Hii ni siku maalumu ambayo Yuda anajitoa mwenyewe kabisa katika Jumuiya ya Mitume, na kuanza mipango yake kabambe ya kumuuza Yesu. 2. JUMANNE KUU Hii ndiyo siku ambayo Yuda anatimiza mipango yake ya kumsaliti Yesu na kukabidhiwa vipande thelathini (30) vya fedha. 3. JUMATANO KUU Hii ndiyo siku ambayo Yesu anawajulisha na kuwatangazia Mitume wake juu ya mpango wa Yuda, japo kwa mafumbo na kueleza waziwazi yale yatakayompata. 4. ALHAMISI KUU Hii ndiyo siku ambayo, wakati wa jioni Yesu anaweka sakramenti kuu mbili ambazo ni: EKARISTI TAKATIFU na DARAJA TAKATIFU pamoja na AMRI KUU YA MAPENDO. 5. IJUMAA KUU Hii ndiyo siku ambayo, asubuhi na mapema (Alfajiri) Yuda anapokea kikosi cha maaskari tayari kwa kumsaliti Bwana wake, Mwalimu na Muumba wake. Hapa naomba niseme kidogo, kwa utamaduni wa ...

JOB VACANCY {sales director in pharmaceutical Company}

Image
  Sales Director Pharmaceutical Company   About the job ·     Providing strategic direction to the sales and marketing team to ensure delivery of broad business objectives Gathering information on market trends and competitor activities for innovation purposes and to enhance strategic decision making. Ensure delivery of sales/service vision by automating, centralizing and streamlining policy and procedure. Collaborating with local businesses to acquire all necessary information to get the largest market share. Adapt the business model to be culturally relevant without losing its identity. Build a Strong Branded Generics Business Build a strong competitive edge via cost leadership and high-quality operational standards. CLICK HERE TO APPLI