Posts

Showing posts from February, 2018

Differences between Gymnosperms and Pteridophytes

Image
PREPARED BY MR. LYIMO. Plant terminology can be quite confusing, especially with words like gymnosperms and pteridophytes. The names don’t really convey any information about what they both refer to, at least for most people. What these two groups are, and the differences between them, will be explained. Gymnosperms One of the two groups of plants that have seeds is the gymnosperms. In fact the name gymnosperm means ‘naked seed’, and this describes the plant perfectly as the seeds are not part of a fruit but grow on their own, exposed or unprotected. This seed is commonly, in most of the gymnosperm plants, in the form of a cone and often referred to as a ‘pine cone’. This group features some of the most ancient plants among the seed plants and includes conifers (pines, spruces, and firs for example) as well as many other trees, shrubs, and even a few vine-like species of plants. These plants can be very useful for their timber and some have medicinal uses as well....

Familia ya mwanafunzi Akwilina yataka haki itendeke

Image
Familia ya mwanafunzi Akwilina yataka haki itendeke. Image caption Waombelezaji katika msiba wa mwanafunizimarehemu Akwilina, enelo la Mbezi ,jijini Dar es salaam Maombolezi yanaendelea nyumbani kwa mwanafunzi Akwilina Akwilini anayedaiwa kupigwa risasi na polisi na kufariki baada makabiliano kati yao na wafuasi wa Chadema sikua ya Jumamosi. Wakizungumza na BBC, ndugu wa marehemu Damian Swai, amesema wanasubiri matokeo ya uchunguzi wa polisi ili waone hatua ambayo itafaa kuchukuliwa. Damian ameendelea kusema kuwa marehemu alikuwa na ndoto za kusoma na kufaulu na kuwa na maisha yake vizuri lakini, "ndoto yake imekatishwa." Taarifa za kifo cha mwanafunzi huyo zilifikia familia kupita Chuo cha Usafirishaji cha NIT ambapo alikuwa anasoma. Mwili wa marehemu unategemewa kusafirishwa hadi Rombo, Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa wazazi wake ambapo ndipo atakapozikwa. Hata hivyo, serikali kupitia Waziri wa Elimu imesema itagharamia mazishi ya mwanafunzi huyo. Imag...

wanafunzi 17 kuuawa kwa kupigwa risasi huko Marekani.

Image
 wanafunzi 17 kuuawa kwa kupigwa risasi huko Marekani Haki miliki ya picha JOE RAEDLE Image caption Shughuli ya kuwasha mishumaa kuwakumbuka waliouwawa Chama cha Democrats kimewashutumu Rais Donald Trump na Spika wa bunge la nchi hiyo Paul Ryan kwa kukataa kuruhusu mjadala wa sheria ya kumiliki silaha. Hii imetokea siku moja baada ya wanafunzi 17 kuuawa kwa kupigwa risasi huko Marekani. Wakati huo huo shughuli ya kuwasha mishumaa kuwakumbuka waliouawa kwenye tukio hilo imefanyika huko Florida kulikotokea tukio hilo. Wakati wa Marekani wakiwa bado wanaendelea kuomboleza kifo cha wanafunzi 17 waliuawa kwa kupigwa risasi kumekuwa na wito wa nchi hiyo kubadili sheria ya kumiliki silaha. Haki miliki ya picha WIN MCNAMEE Image caption Rais Donald Trump akizungumza na waandishi wa habari baada ya shambulio Akizungumzia mauaji hayo Rais wa Marekani Donald Trump awali katika hotuba yake amesema usalama katika shule utakuwa ni moja ya mambo yatakayopewa kipau mbele. Hata hiv...

SOMA MAKALA MAALUM NA MAANA KAMILI YA KWARESMA HII HAPA

Image
TUBUNI NA KUIAMINI INJILI. A Neno kwaresma  ni neno la kilatini liitwalo Quadragesima maana yake ni arobaini(40)         mpenzi msomaji, katika maisha ya kikristo kuna kipindi cha siku 40.majira haya  ya kwaresma huanza siku ya jumatano ya majivu na kuishia jumapili ya pasaka siku ambayo wakristo wanakumbuka kufufuka kwa yesu kristo kutoka katika wafu. Kwaresma ni kipindi maalum ambacho wakristo wanakumbuka maisha ya Yesu kristo hapa duniani hususan mateso, kufa na kufufuka kwake.  Ni kipindi cha kutafakari maana na umuhimu wa dhabihu ya YESU kristo katika ukombozi wa dunia na kumrudia Mungu. Aidha ni kipindi ambacho wakristo wanakumbushwa kufanya toba na kumrudia Mungu kwa mujibu wa maandiko matakatifu. Ingawa kipindi cha kwaresma ni kipindi cha mafungo kwa wakristo, watu wengi na hasa wa dini nyingine hushindwa kutambua funga inayofanywa na wakristo katika kipindi hiki na hasa kwa sababu wakristo wengi huonekana wakiendele...

Mwanamume aliyekuwa amebeba cocaine kwenye makalio bandia ashikwa Ureno

Image
Mwanamume aliyekuwa amebeba cocaine kwenye makalio bandia ashikwa Ureno Haki miliki ya picha POLÍCIA JUDICIÁRIA Image caption Mwanamume aliyekuwa amebeba cocaine kwenye makalio bandia ashikwa Ureno Polisi nchini Ureno wamemkamata mwanamume mmoja kwenye uwanja wa ndege huko Lisbon, ambaye alikuwa amebeba kilo moja ya cocaine kwenye makalio bandia. Vyombo vya habari nchini humo vilisema kuwa raia huyo wa Brazil aliwasili kwa ndege kutoka mji wa Belém do Pará, kaskazini mwa Brazil. Haijulikani ni vipi polisi walifanikiwa kugundia hilo. Tani 12 za cocaine zakamatwa Colombia Karibu tani 4 za cocaine zakamatwa Hispania Mihadarati ya Cocaine ya pauni milioni 50, yapatikana Uingereza Mwanamume mwingine ambaye anashukiwa kuwa angepokea dawa hizo alikamatwa kwenye kituo cha treni cha mji huo. Wanaume hao watakabiliwa na kesi ya ulanguzi wa madawa ya kulevya. Mwezi uliopita polisi nchini Ureno na Uhispania walikamata cocaine ndani ya mananasi yaliyokuwa yamessfirishwa kutoka...

Mke wa mtoto wa Trump. Trump Jr apelekwa hospitalini baada ya kufungua bahasha yenye unga

Image
Mke wa mtoto wa Trump. Trump Jr apelekwa hospitalini baada ya kufungua bahasha yenye unga Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Trump Jr na Vanessa wana watoto watano Mke wa mtoto wa Rais Trump, Trump Jr, Vanessa Trump, amepelekwa hospitalini kama njia ya kuchukua tahadhari baada ya kufungua bahasha yenye unga mweupe. Barua hiyo ilikuwa imetumwa kwa Donald Trump Jr, mtoto wa kwanza wa kiume wa Rais Trump, katika nyumba yake huko Manhattan. Bi Trump na watu wengine waiokuwa neo hilo waliondolewa na wazima moto na kisha kupelekwa hospitalini. Trump alimfunza mwanawe maneno ya kusema mkutanoni Polisi wa mjini New York waliiambia BBC kuwa waliifanyia uchunguzi unga huo na kupata kuwa haukuwa na madhara. Walisema kuwa Bi Trump hakuonekana kuthiriwa na unga huo. Bw Trump baadaye aliandika katika mtandao wa Twitter na kukashifu kitendo hicho. Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Familia ya Trump Kulingana na kituo cha CBS mjini New York mama yak...

UWANJA WA NDEGE HUKO LONDON WAFUNGWA HII NI BAADA YA BOMU LA VITA VYA KWANZA YA DUNIA KUPATIKANA

Image
Uwanja wa London wafungwa baada ya bomu la vita vya pili vya dunia kupatikana Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption London City Airport Uwanja wa ndege wa mjini London umefungwa baada ya bomu la vita vya pili vya dunia kupatikana kwenye mto ulio karibu wa Thames. Uwanja huo utafungwa siku nzima na safari zote za ndege kufutwa, na kuwaathiri hadi abiria 16,000. Bomu la Vita Vikuu vya Dunia lateguliwa Ujerumani Bomu kubwa la vita vya pili vya dunia kuharibiwa Ujerumani Bomu hilo liligunduliwa siku ya Jumapili eneo la George V wakati wa shughuli ya kikazi mashariki mwa London. Uwanja huo ukafungwa na polisi wanasema kuwa wanashirikiana na jeshi la wanamaji kuondia bomu hilo. Image caption Polisi wakiwa London City Airport Abiria wameambiwa wasisafiri kwenda uwanja huo na kushauriwa kuwasiliana na mashirika yao ya ndege. "Uwanja wa ndege unashirikiana kabisa na polisi wa Met na jeshi la wanamaji kuliondoa bomu hilo kwa njia salama na kutatua suala hi...

GUMZO MITANDAONI MJI ULIOKOSA NAFASI ZA KUZIKA WAFU

Image
Dhaka: Mji uliokosa nafasi za kuzika wafu. Haki miliki ya picha AMIRUL RAJIV Image caption Suraya Parveen anasema kaburi la babake Mejbah Uddin Ahmed lilikuwa kumbukumbu ya mwisho aliyobakia nayo Makaburi mengi mjini Dhaka, mji wenye watu wengi,ni ya muda mfupi kwa sababu, mjini Bangladesh hakuna nafasi tena ya kuzikia.Utafanya nini ikiwa mtu atachukua eneo alilozikiwa mpendwa wako? Suraya Parveen hawezi tena kutembelea kaburi la Baba yake kwasababu mwili mwingine wa mtu asiyemfahamu umezikwa kwenye kaburi hilohilo. ''Nikiwa mtoto wa kike mkubwa,nina wajibu wa kuangalia vitu.Siku moja nilimuuliza kaka yangu kama hivi karibuni alitembelea kaburi''.Aliiambia BBC mjini Dhaka. Baada ya kusita kwa muda, alimwambia kuwa kuna kaburi jingine jipya juu ya kaburi la marehemu baba yao. ''Familia nyingine sasa inamiliki kaburi hilo na wamekwishaliwekea sakafu.Taarifa hizi zimeniumiza sana, sikuweza kuzungumza kwa muda'' alieleza huku akibubujikwa na mac...