Posts

Showing posts from March, 2021

HII NDIO MAANA HALISI YA WIKI KUU KWA WAKRISTO WAKATOLIKI

Image
 HII NDIO MAANA HALISI YA WIKI KUU KWA WAKRISTO WAKATOLIKI WA AMBAO HAWAJUI RATIBA YA WIKI HII KUU YA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTO KATIKA LITRUJIA YA KANISA, IKO KAMA IFUATAVYO:- 1. JUMATATU KUU Hii ni siku maalumu ambayo Yuda anajitoa mwenyewe kabisa katika Jumuiya ya Mitume, na kuanza mipango yake kabambe ya kumuuza Yesu. 2. JUMANNE KUU Hii ndiyo siku ambayo Yuda anatimiza mipango yake ya kumsaliti Yesu na kukabidhiwa vipande thelathini (30) vya fedha. 3. JUMATANO KUU Hii ndiyo siku ambayo Yesu anawajulisha na kuwatangazia Mitume wake juu ya mpango wa Yuda, japo kwa mafumbo na kueleza waziwazi yale yatakayompata. 4. ALHAMISI KUU Hii ndiyo siku ambayo, wakati wa jioni Yesu anaweka sakramenti kuu mbili ambazo ni: EKARISTI TAKATIFU na DARAJA TAKATIFU pamoja na AMRI KUU YA MAPENDO. 5. IJUMAA KUU Hii ndiyo siku ambayo, asubuhi na mapema (Alfajiri) Yuda anapokea kikosi cha maaskari tayari kwa kumsaliti Bwana wake, Mwalimu na Muumba wake. Hapa naomba niseme kidogo, kwa utamaduni wa ...

JOB VACANCY {sales director in pharmaceutical Company}

Image
  Sales Director Pharmaceutical Company   About the job ·     Providing strategic direction to the sales and marketing team to ensure delivery of broad business objectives Gathering information on market trends and competitor activities for innovation purposes and to enhance strategic decision making. Ensure delivery of sales/service vision by automating, centralizing and streamlining policy and procedure. Collaborating with local businesses to acquire all necessary information to get the largest market share. Adapt the business model to be culturally relevant without losing its identity. Build a Strong Branded Generics Business Build a strong competitive edge via cost leadership and high-quality operational standards. CLICK HERE TO APPLI