Posts

Showing posts from February, 2020

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 21.02.2020: Skriniar, Tah, Alonso, Klopp, Hodgson, Lallana

Image
Haki miliki ya picha AFP Image Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha AFP Image caption Wachezaji wa Atletico wanamtaka Jurgen Klopp kutizama mapungufu ya timu yake badala ya kuwakosoa. Wachezaji wa Atletico Madrid walishikwa na hasira na kushangazwa baada ya kukosolewa na kocha wa Liverpool Jurgen Klopp. Atletico iliwafunga Liverpool 1-0 Jumanne katika raundi ya kwanza ya hatua ya mtoano ya Kombe la Mabingwa Ulaya, wachezaji wa Atletico wanamtaka Klopp kutizama mapungufu ya timu yake badala ya kuwakosoa.  (ESPN) Manchester City na Barcelona wanaminyana kumsajili beki wa Inter Milan na Slovakia Milan Skriniar, 25, na klabu itakayofanikiwa kumnyakua itabidi itoe dau la zaidi ya pauni milioni 75.  (Calciomercato) Arsenal wanapanga kumsajili beki wa Bayer Leverkusen na Ujerumani Jonathan Tah ambaye kwa mujibu wa mkataba wake anathamani ya pauni milioni 34.  (Bild - in German) Haki miliki ya picha TF-IMAGES Image caption Jonathan Tah Beki wa pembeni wa Chelsea Marcos Alonso, 29, bado yu...

RWANDA YAPINGA UCHAGUZI HURU WA KIFO CHA KIZITO MIHIGO

Image
' Rwanda ni nchi huru inayojitawala na ambayo ina uwezo wa kuchunguza wa kitu chochote' habari hii Facebook Sambaza habari hii WhatsApp Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Kumekuwa na hisia mseto katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha ghafla cha msanii huyo Rwanda imepinga shinikizo kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu ya kutaka uchunguzi huru kufanywa kuhusu kifo cha msanii maarufu wa muziki wa kiinjili Kizito Mihigo, ambaye alipatikana akiwa amefariki katika kituo cha polisi Jumatatu asubuhi. Alifariki siku tatu baaada ya kukamatwa karibu na mpaka wa Burundi, polisi wakimtuhumu kwa jaribio la kutaka kutoroka nchi na kujiunga na la waasi linalopigana dhidi ya serikali ya Rwanda. Bw. Mihigo alipigwa marufuku kuondoka nchini Rwanda kutokana na mashitaka yaliyopita dhidi yake. Human Rights Watch latilia shaka kifo cha mwanamuziki Rwanda Msemaji wa shirika la upelelez...

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 20.02.2020: Messi, Sancho, Werner, Jesus, Icardi,

Image
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 20.02.2020: Messi, Sancho, Werner, Jesus, Icardi,  Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii WhatsApp   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Lionel Messi akiri kuwa anahisi kuna "mambo ya ajabu" yanaendelea Barcelona. Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, 32, amepigiwa simu na klabu ya LA Galaxy kujadili uhamisho wa kuelekea Ligi ya Soka ya Marekani (MLS). (Express) Messi amekiri kuwa anahisi kuna "mambo ya ajabu" yanaendelea Barcelona huku kukiwa na ripoti kuwa klabu hiyo ilikodi kampuni ya mitandao ya kijamii kukashifu wachezaji wake. (Mundo Deportivo, via Mail) Hata hivyo, Messi yungali anaiona Barcelona kama nyumbani kwake licha ya tetesi za kutaka kuihama klabu hiyo. (ESPN) Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Jadon Sancho Klabu ya Manchester United inaimani kuwa itamnasa mshambuliaji wa klab...