Posts

Showing posts from October, 2019

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 22.10.2019

Image
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 22.10.2019: Pochettino, Ferguson, Giroud, Eriksen, Abraham, Fred Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Kocha wa Tottenham,Mauricio Pochettino(katikati) Meneja wa Tottenham, Mauricio Pochettino, anasema kuwa anahofia kufutwa kazi kutokana na matokeo mabaya ya klabu hiyo (Mirror) Juventus na Atletico Madrid zinamfuatilia beki wa West Brom wa miaka 19, Nathan Ferguson.(Sun) Ghana, Senegal na Ivory Coast zaondolewa CHAN Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 21.10.2019 Matatizo ya klabu kuu nne katika ligi kuu ya England Mshambuliaji wa Chelsea na Ufaransa Olivier Giroud, 33, anatakiwa na Crystal Palace na huenda akajiunga na klabu hiyo ifikapo mwezi Januari. (Daily Star) Haki miliki ya picha AFP Image caption Olivier Giroud Real Madrid haitajaribu kumsaini mchezaji wa safu ya kati wa Tottenham raia wa Denmark, Christian Eriksen, 27, mwezi Januari hadi watakapowauza wachezaji wasiokuwa katika kikosi cha kwanza. (AS) Real itaipatia Spurs kiu...