Posts

Showing posts from May, 2019

NAFASI ZA KAZI KIWANDA CHA SUKARI KILOMBERO

Image
NAFASI YA KAZI KIWANDA CHA SUKARI KILOMBERO May 26, 2019 by  Global Publishers Logistics Operating Center Manager Kilombero Sugar Company Limited (KSC), the largest producer of sugar in the country operating cohesively with Extra Neutral Alcohol Distillery (IDTL) is seeking to recruit a dynamic and result oriented person to fill a vacancy of Logistics Operating Center Manager reporting to the Logistics Manager. The successful candidate will be responsible with Out-bound transport and distribution of finished products produced by KSC & IDTL brands. Duties and Accountabilities: Analyse costs on a monthly bases to ensure they are managed within budget. For all LOC operations. Transport routes, regional sales deliveries and inter depot transfers ensure most competitive contractor used. Analyze warehouse and transport reports and monitor key performance indicator dashboards with the aim of improving tracking performance Contractor management, continuously assessing a...

Mengi kuzikwa alhamisi Machame Moshi

Image
Mengi kuzikwa alhamisi Machame Moshi Haki miliki ya picha IPP Image caption Aliyekuwa mwenyekiti wa makampuni ya IPP na mmoja wa matajiri na mashuhuri nchini Tanzania Reginald Mengi Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi utawasili jumatatu mchana Mei 6, 2019 jijini Dar es salaam kutoka Dubai ambapo alifikwa na umauti jumatano usiku. Mwanasheria wa familia, Michael Ngalo amesema mwili wa mfanyabiashara huyo maarufu nchini Tanzania utahifadhiwa katika hospitali ya jeshi ya Lugalo baada ya kuwasili. Siku ya Jumanne,marehemu ataagwa katika viwanja vya Karimjee. Siku ya Jumatano Mei 8, 2019 mwili utasafirishwa kwenda Machame mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya maziko yatakayofanyika siku ya Alhamisi Mei 9, 2019. "Baada ya mwili kuwasili Machame ibada ya mazishi itafanyika katika Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania la Kisereni," Reginald Mengi afariki dunia Reginald Mengi: Nilizaliwa katika umasikini wa kutupwa Mzee Mengi alizaliwa...

Reginald Mengi , mfanyabiashara mshuhuri Tanzania aaga dunia

Image
Reginald Mengi , mfanyabiashara mshuhuri Tanzania aaga dunia Mwenyekiti wa makampuni ya IPP ya Tanzania, Reginald Mengi amefariki dunia kulingana na kituo cha habari cha ITV . Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara mahiri wa Tanzania, na ukanda wa Afrika Mashariki, ambaye aliwekeza katika sekta za viwanda, na habari. Habari ambazo zimethibitishwa na kituo cha habari cha ITV, kilipozungumza na VOA asubuhi ya leo, inaelezwa Mengi amefariki dunia usiku wa leo, licha ya kutotoa taarifa zaidi. Chini ya umiliki wake kupitia makampuni ya IPP, Mengi alianzisha kampuni ya vyombo vya habari ya IPP Media, ambayo ina miliki vituo vya habari vya ITV, East Africa TV, Capital TV, Radio One, East Africa Radio, na Capital FM. Vilevile chini ya IPP Media, Mengi alikuwa akimiliki kampuni ya uchapishaji magazeti ya The Guardian Limited, yenye kuchapisha magazeti ya Nipashe, Alasiri, na the Guardian. Hivi karibuni Reginald Mengi alitangaza kufanya uwekezaji katika kiwanda cha kuunganisha mag...

Wafanyakazi Afrika Mashariki waambulia patupu

Image
Haki miliki ya picha COTU Wafanyakazi wa Afrika Mashariki hawana sababu ya kutabasamu, baada ya serikali zao kuwanyima nyongeza ya mishahara, wakati wa sherehe za kuadhimisha siku kuu ya wafanyakazi duniani Nchini Kenya licha ya wafanyakazi kuwa wachangamfu na wenye furaha, tangazo walilosisubiri silo walilosikia. Waziri wa leba (kazi) nchini Kenya Ukur Yattani amesema kuwa suala hilo lingali linajadilkiwa na washika dau, hali iliyowafanya wafanyakazi waliokuwa wakihudhuria sherehe hizo mjini Nairobi kuondoka wakati waziri alipokuwa akitoa hotuba hiyo ya rais. Badala yake sherehe za siku ya wafanyakazi zilitawaliwa na miito kutoka kwa wanasiasa ambao wameilaumu serikali kwa kujaribu kuongeza mzigo kwa wafanyakazi kwa kuwatoza ushuru zaidi ili kugharamia ujenzi wa nyumba za bei ya chini. Semenya ashindwa rufaa dhidi ya sheria za IAAF Tanzania haitaongeza muda wa likizo ya uzazi Picha bora za chakula 'Liverpool itapata tabu dhidi ya Barcelona' Muunga...