Posts

Showing posts from October, 2018

Paul Kagame afanya mabadiliko makubwa baraza la mawaziri, amuondoa kazini waziri wa ulinzi Rwanda

Image
Paul Kagame afanya mabadiliko makubwa baraza la mawaziri, amuondoa kazini waziri wa ulinzi Rwanda Haki miliki ya picha AFP/GETTY IMAGES Rais wa Rwanda Paul Kagame amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri na kumteua Dkt Richard Sezibera kuwa waziri mpya wa mashauri ya nchi za nje. Jenerali James Kabarebe aliyekuwa mtu wa karibu sana na Rais Kagame amepoteza wadhifa wake kama waziri wa ulinzi na badala yake akateuliwa mshauri wa rais katika masuala ya usalama. Kagame: Raia wa Rwanda walitaka wenyewe Diane Rwigara na mamake waachiliwa huru Rwanda Je Victoire Ingabire ni nani? Tanzania inashikilia nafasi ya ngapi kwa utajiri Afrika? Katika mabadiliko makubwa na ya kushtukiza aliyofanya Rais Kagame wizara 8 kati ya 23 zimepata mawaziri wapya zikiwemo wizara nyeti tatu, wizara ya ulinzi ambayo sasa inaongozwa na Meja jenerali Albert Murasira aliyechukua nafasi ya Jenerali James Kabarebe. Mwandishi wa BBC Yves Bucyana anasema si wengi walitarajia mab...

Ajali mbaya iliyotokea huko Kenya takribani watu 30 wafariki dunia

Image
The Homeboyz bus that crashed and killed 56 people at the Fort Ternan black spot in Kericho county was on an illegal night run, Police Inspector General Joseph Boinett said yesterday. Kericho county police commander James Mugera said the accident occurred after the brakes failed and the driver lost control of the bus descending the black spot area. It rolled several times, tumbling into a steep valley along the Londiani-Muhoroni-Kisumu road, witnesses said. “It is suspected the driver of the ill-fated bus lost control as it was going downhill a few metres before the flyover. He was attempting to negotiate the sharp bend at the flyover but failed, Mugera said. The roof of the bus was ripped off due to impact as the vehicle rolled downhill. The accident scene was littered with bloodied luggage and belongings of passengers, and debris. Mugera said villagers and the rescue team responded swiftly but it took more than one hour to retrieve some bodies trapped inside the mangled bu...