Posts

Showing posts from May, 2021

Kenya imepanga kupiga marufuku mahusiano ya kimapenzi miongoni mwa maafisa wa polisi.

Image
  Kenya imepanga kupiga marufuku mahusiano ya kimapenzi miongoni mwa maafisa wa polisi. CHANZO CHA PICHA, AFP Hatua hii ina nia ya kupunguza viwango vya uhalifu unaotokana na masuala ya mapenzi miongoni mwa maafisa hao, Waziri wa usalama wa Ndani alieleza hayo kwenye sherehe katika chuo kimoja cha polisi nchini humo. Kanuni hizo kwanza zinahitaji kupewa idhini na Baraza la Usalama la Taifa, linalosimamia vikosi vyote vya usalama vya nchi hiyo, Fred Matiang'i alisema. Ndani ya huduma ya polisi , mahusiano yalishapigwa marufuku miongoni mwa maafisa wa vyeo tofauti, alieleza. Miezi michache iliyopita, kulikuwa na ongezeko la mauaji ya wapenzi, waziri huyo alieleza. ''Hatuwezi kufungia macho suala hili na kutokuzungumzia baadhi ya changamoto tulizonazo kwenye sekta ya usalama,'' Bw. Matiang'i alisema. Ofisi ya jinsia pia itatazama kesi za udhalilishaji wa kingono ulioripotiwa na maafisa polisi. ''Hapo baadaye, itakuwa ni kosa kisheria kwa polisi kuwa na mahu...